Kutoa Pesa Kutoka Paypal Ukiwa Tanzania (Tigo & Airtel) #Maujanja 129

3 weeks ago


Reduce exposure to Covid-19 and start shopping onlineKama wewe ni mmoja wa watu wenye akaunti ya Paypal na ungependa kutoa pesa zako kutoka akaunti ya paypal kuja hapa Tanzania basi njia hii inaweza kukusaidia.

Hakikisha una fuata maelekezo yote hapo juu na pia hakikisha unakuwa muangalifu na pesa zako. Kumbuka kwa sasa hakuna huduma ya paypal wenyewe ambayo inaweza kusaidia kutoa pesa ukiwa hapa Tanzania.

LINK MAALUM

1. Tembelea Tovuti Hiyo Hapa – https://url.tanzaniatech.one/Gg3
2. Vigezo na Masharti ya Huduma Hii – https://url.tanzaniatech.one/v2L
3. Soma Zaidi Hapa – https://tanzaniatech.one/

Kama kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini au unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja.

BE SOCIAL, FOLLOW US

1. TikTok – https://www.tiktok.com/@tanzaniatech
2. Telegram – https://t.me/tanzaniatech
3. Facebook – https://facebook.com/tanzaniatech
4. Instagram – https://instagram.com/tanzaniatech_
5. Twitter – https://twitter.com/tanzaniatech

KWA MAUJANJA ZAIDI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE KWANI TUNAKUJA NA VIPINDI VIPYA KABISA KWAAJILI YAKO KUJIFUNZA.

source

The Struggle Continues

6 thoughts on “Kutoa Pesa Kutoka Paypal Ukiwa Tanzania (Tigo & Airtel) #Maujanja 129”

  1. Niko na some $$ zimekaa kwa muda sasa PayPal account. I was so happy to see this possibility but to my surprise it looks like it doesn't work on my end,, Nikiselect option ya Mobile wallet inakuwa inactive hainiletei choices za Tigo & Airtel money,, Sijajua nini hakiko sawa,,
    Kindly help,,

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.